Darasa la Afya na Lishe Bora ni programu iliyojengwa kusaidia watu wote kufahamu na kutekeleza misingi ya afya na lishe bora.
Inawalenga wazima wa rika zote wanaotaka kuboresha lishe na afya ya familia na watu wanaotafuta mabadiliko ya kiroho ya maisha.
Chukua hatua leo, jifunze mbinu dhabili za lishe bora na afya endelevu. Pakua na anza safari yako ya afya sasa.









